HTML Document
Sala Ya Bwana
Baba yetu uliye mbinguni
jina lako litukuzwe
ufalme wako uje
mapenzi yako yatimizwe hapa duniani
kama huko mbinguni
utupe leo riziki yetu
utusamehe makosa yetu
kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea
usitutie majaribuni lakini
utukoe na yule mwovu
kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu
na utukufu na hata milele.
Amin.